11 Sep 2025 1:58 pm | Citizen TV 497 views Duration: 1:16 Timu ya Gor Mahia ililazwa mabao mawili kwa nunge na Simba ya Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uwanjani Benjamin Mkapa nchini Tanzania.