Skip to main content
Skip to main content

Mauaji ya wakili Mbobu: Alipigwa risasi mara nane

  • | Citizen TV
    3,653 views
    Duration: 2:18
    Wakili mathew kyalo mbobu alipigwa risasi mara nane na kuuawa aliposhambuliwa katika barabara ya magadi siku ya jumanne. Katika upasuaji wa maiti uliofanywa katika makafani ya lee, risasi mbili zilipatikana mwilini, moja ikiwa imepenya na kukwama kwenye uti wake wa mgongo.