Skip to main content
Skip to main content

Maraga ataka Kesi dhidi ya waandamanaji kutupwa

  • | Citizen TV
    1,776 views
    Duration: 2:49
    Jaji mkuu mstaafu david maraga amefokea ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa kuwashtaki kwa makosa ya ugaidi vijana waliokamatwa wakati wa maandamano. Maraga anasema hatua hiyo inawadhulumu vijana hao ambao wamesalia korokoroni wakisubiri kesi yao kuamuliwa. Na kama anavyoarifu gatete njoroge, maraga anataka kesi hizo zitupiliwe mbali akisema hazina msingi.