Skip to main content
Skip to main content

Miaka mitatu ya Ruto: Lawama za ukiukaji wa haki

  • | Citizen TV
    467 views
    Duration: 3:09
    Hali ya haki za kibinadamu nchini imeendelea kudorora huku serikali ikilaumiwa kwa kufumbia macho ukatili unaoendelzwa na asasi za usalama. Idadi ya waliouwawa na kutekwa nyara katika miaka mitatu ya uongozi wa rais william ruto imeliweka taifa miongoni mwa nchi zinazoorodheshwa kuwa na ukiukaji mkubwa wa haki za kibinadamu. Haya ni licha ya kiapo cha rais william ruto kuwa serikali yake itaheshimu na kuzingatia haki hizo.