11 Sep 2025 8:07 pm | Citizen TV 329 views Duration: 1:11 Waziri wa michezo salim mvurya ameeleza kuridhishwa kwake na ujenzi wa uwanja wa Ithookwe kaunti ya Kitui aliosema umefikia asilimia 80.