Tuktuk zinazotumia umeme umeme

  • | BBC Swahili
    377 views
    Kutana na Tuktuk ama pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia umeme zikikabiliana na uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele na hewa huko Mombasa. Usafiri huu unakumbana na changamoto za miundombinu pamoja na masoko mapya, je wanakabiliana nazo vipi? Mtangazaji wa BBC @roncliffeodit amezungumza na wazalishaji wa pikipiki hizi za magurudumu matatu na kuandaa taarifa hii 🎥: @frankmavura #bbcswahili #kenya #mazingira