Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa shamba la jamii kaunti ya kajiado walalamikia usimamizi wa shamba la Mailwa

  • | Citizen TV
    173 views
    Duration: 3:40
    Wakazi wa Mailwa Group Ranch, Kajiado ya Kati, wanaitaka serikali na viongozi wa ardhi kuhakikisha uchaguzi wa viongozi wa shamba hilo unafanyika ndani ya siku 75 kama ilivyoagizwa na mahakama. Wakazi hao wanasema uchaguzi huo utasaidia kumaliza migogoro ya muda mrefu kuhusu umiliki na usimamizi wa ardhi ya jamii hiyo.