Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kisiasa katika Kaunti ya Isiolo watoa wito wa kudumisha amani

  • | NTV Video
    282 views
    Duration: 1:30
    Viongozi wa kisiasa katika Kaunti ya Isiolo wametoa wito wa kudumisha amani na kuvumiliana kisiasa kufuatia jaribio la kumwondoa mamlakani Gavana Abdi Guyo ambayo ilitupiliwa mbali na Seneti katika hatua za mapema . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya