Mbunge Peter Salasya na Vijana wamzuia Gavana wa kaunti ya Kakamega kuelekea katika mkutano wake

  • | West TV
    107 views
    Maafisa wa polisi eneo bunge la Mumias Mashariki kaunti ya Kakamega wamelazimika kutimua kundi la vijana waliokuwa wamefunga barabara kumzuia Gavana wa kaunti hiyo Fernandes Barasa aliyekuwa amepanga kufanya mkutano wake wa maendeleo katika soko la Lusheya eneo bunge hilo