Wakazi wa Entarara katika kaunti ya Kajiado waishi kwa hofu kufuatia mchipuko wa magenge ya wezi

  • | Citizen TV
    248 views

    Wakazi wa eneo la Entarara katika kaunti ndogo ya Loitokiok kaunti ya Kajiado wanaishi kwa hofu kufuatia kuchipuka kwa magenge ya wezi ambayo yamekuwa yakiwahangaisha kwa kuwaibia hasa wakati wa usiku kisha kutorokea upande wa Tanzania.