- 151 viewsDuration: 3:04Kenya inajiandaa kuanza kuuza bidhaa za maziwa nchini Algeria hivi karibuni. Kaimu mkurugenzi mkuu wa bodi ya maziwa humu nchini Kimutai Maritim amesema Kenya imekuwa ikitafuta masoko mapya huku uzalishaji maziwa ukiongezeka kila uchao. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive