- 218 viewsDuration: 2:45Kinyang'anyiro cha chaguzi ndogo zaa tarehe 27 Novemba kinaendelea kushika kasi huku vyama mbalimbali vya siasa vikitoa vyeti vya uteuzi kwa wagombea wao. Chama cha hivi punde zaidi kujiunga na kinyang'anyiro hicho ni kile cha ODM ambacho kimetoa vyeti vya uteuzi kwa wawaniaji wake. Wawaniaji hao wameapa kunyakua viti vilivyokuwa vikishikiliwa na wanachama wa chama hicho. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu anatuarifu zaidi huku vyama vya kisiasa vikijiandaa kujitosa katika kampeini za kuwapigia debe wawaniaji wake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive