Umasikini, Ulemavu na Ugonjwa wa Matende unavyoangaisha familia moja

  • | West TV
    100 views
    Familia moja yenye Baba mlemavu, Mama mwenye ugonjwa wa matende, Watoto saba na inayoishi kwa umasikini mkubwa katika kijiji cha Bumutiru wadi ya Kingandole eneo bunge la Butula kaunti ya Busia, inaomba msaada kutoka kwa wahisani baada ya kuishi kwa hali hiyo kwa karibia miaka kumi.