Skip to main content
Skip to main content

Beatrice Chebet atwaa dhahabu ya mita 10,000 kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia

  • | KBC Video
    2,647 views
    Duration: 1:56
    Bingwa wa Olimpiki Beatrice Chebet alishinda dhahabu yake ya kwanza katika mashindano ya riadha ya dunia baada ya kutawala mbio za mita elfu 10 zilizowavutia wanariadha 27 na kushinda mbele ya Nadia Battocletti wa Italia na Tsegay Gudaf wa Ethiopia waliotwaa nishani za fedha na shaba. Mkenya mwengine Agnes Jebet alimaliza katika nafasi ya nne. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive