- 19 viewsDuration: 2:46Wadau katika sekta ya elimu humu nchini sasa wanashinikiza kuimarishwa kwa mipango ya kutoa ushauri nasaha na uwezeshaji,hasa kwa wasichana kutoka familia zisizojimudu.Hii ndio ilikuwa kauli mbiu wakati wa hafla ya kutoa ushauri jijini Nairobi kwa jina ‘One Girl Can initiative’ iliobaini haja ya juhudi za pamoja ili kuhakikisha hata wale ambao hawajabahatika katika jamii wanapata fursa sawa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive