Waziri Susan Nakhumicha adai kuwa ni Waziri wa Maendeleo Trans Nzoia

  • | West TV
    84 views
    Vita vya maneno vinaendelea kushuhudiwa kati ya Waziri wa afya nchini Susan Nakhumicha na Gavana wa kaunti ya Trans nzoia George Natembeya kutokana na madai ya muingiliano wa kimajukumu na tofauti za utenda kazi