Mswada wa kuwaajiri Wazee wa Mitaa almaarufu Wakasa na Serikali

  • | West TV
    84 views
    Mbunge wa Malava Malulu Injendi amewasilisha mswada katika bunge la taifa kutaka kazi ya Wazee wa mitaa kote nchini kutambuliwa katika sheria ya taifa la kenya na pia wazee hao waanze kulipwa mishahara na marupurupu