Familia Bumutiru iliyokuwa ikitatizwa na Umasikini Ulemavu na Matende imepata msaada

  • | West TV
    89 views
    Siku chache baada ya West Media kuangazia masaibu ya familia moja katika kijiji cha Bumutiru yenye baba mlemavu na mama mwenye ugonjwa wa matende (elphantiasis) na inayoishi kwa uchochole mkubwa, wahisani wamejitokeza kuijengea nyumba familia hiyo