'Pazeni sauti, pazeni sauti, wameniweka kizuizini'

  • | BBC Swahili
    1,043 views
    Ni ujumbe wa Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani Ali Bongo Ondimba akiutuma kwa jumuiya ya kimataifa kuhusu hali nchini humo baada ya jeshi kuchukua mamlaka ya nchi hiyo mapema Jumatano. #bbcswahili #gabon #mapinduzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw