KWAO UKIMWI SI ZIMWI: VIJANA WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI WAWEZESHWA KUJIKUBALI

  • | KUTV
    460 views
    FARIDA, SI JINA LAKE KAMILI, ANA UMRI WA MIAKA 25 NA ANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI. ALIAMBUKIZWA VIRUSI HIVYO KUPITIA UZAZI LAKINI HALI HII ILIYAFANYA MAISHA YAKE KUTOKOTA KWENYE JUNGU LA KASHFA, KUTENGWA NA KUDHALILISHWA. HALI YAKE SI TOFAUTI NA YA MERCY, NORAH NA LYDIA AMBAO WOTE NI WAKAAZI WA NAIROBI. WAMETESEKA KUTOKANA NA UBAHALULI WA WATU WENGINE KATIKA JAMII IKIWEMO JAMAA WAO AMBAO LICHA YA KUPEVUKA KUTOKANA NA KUWA NA UFAHAMU WA VIRUSI VYA UKIMWI, WANA AMINI WATAAMBUKIZWA VIRUSI HIVI KUTOKANA NA KULA KWENYE MEZA MOJA PAMOJA NA IMANI NYINGINEZO POTOVU. SHIRIKA LA NAYA KENYA, LINAENDELEZA MRADI AMBAO UNABADILI MAISHA YA VIJANA HAWA, UKIWARUHUSU KUJIKUBALI NA KUTANGAMANA KUBADILISHANA MAWAIDHA NA KUTIANA MOYO. ELIUD MUTWIRI ANAPAKUA YOTE KWENYE MAKALA HAYA #kutv #miziziyahabari #hiv #hivawareness #hivaids #ukimwi #endthestigma KUTV is a Kenya Digital Television that brings you up to date News, entertaining, educative and informative programs. FACEBOOK: https://www.facebook.com/kutv.kenya TWITTER: https://twitter.com/KUTVKenya WEBSITE: http://kutv.co.ke/