Nini hatma ya Mali ambayo inategemea Wagner kulinda usalama wake?

  • | BBC Swahili
    453 views
    Mwandishi wa BBC amesafiri hadi eneo kubwa la jangwa na la hatari huko Kaskazini mwa Mali, ikiwa ni mara ya kwanza tangu vikosi vya Ufaransa vilipomaliza operesheni yao ya kijeshi nchini humo mwaka mmoja uliopita. Hofu juu ya mustakabali wa nchi hiyo inazidi kuongezeka huku wakitegemea kundi la Wagner kuleta usalama wakati huu ambao kiongozi wa kundi hilo akiwa amefariki dunia. #bbcswahili #mali #wagner Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw