Ongezeko la idadi ya wagonjwa wa selimundu eneo la Magharibi na Nyanza

  • | West TV
    26 views
    Ugonjwa wa sele mundu (sickle cell) umeripotiwa kuongezeka katika maeneo ya magharibi na nyanza, unyanyapaa, ukosefu wa elimu na matibabu yakitajwa kuchangia ongezeko hilo