Mbunge Peter Kaluma kupinga uamuzi wa Mahakama kuhusu kusajiliwa kwa miungano ya LGBTQ

  • | West TV
    24 views
    Siku moja tu baada ya mahakama ya upeo kushikilia uamuzi wake wa hapo awali kwamba wasagaji na mashoga maarufu LGBTQ wana haki ya kusajili miungano yao na kutangamana bila kubaguliwa, sasa mbunge wa homabay mjini Peter Kaluma ameapa kurejea katika mahakama hiyo kupinga uamuzi huo.