'Watu huja kwako ili kupata msaada; sasa wewe utaenda kwa nani?

  • | BBC Swahili
    388 views
    Licha ya dhana kwamba "wataalam wa magonjwa ya akili" wana kinga dhidi ya changamoto za tatizo hili, uzoefu wa Toluse unaonyesha vinginevyo. Hii ni simulizi ya safari ya mtaalamu wa tiba ya akili aliyetaka kujiua, #bbcswahili #afyayaakili #nigeria @josh_akinyemi 📹 @shirokiambojotham Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw