Mafuriko ya Libya: 'Tumekuwa mitaani'

  • | BBC Swahili
    1,212 views
    Mafuriko nchini Libya yaliyosababishwa na kimbunga Daniel tayari yamegharimu maelfu ya maisha, na maelfu ya watu wanahofiwa kupotea. Uharibifu mkubwa zaidi uko katika mji wa Derna, ambapo mabwawa mawili yalipasuka. Sehemu kubwa ya mji huo umesombwa na maji hadi baharini na ripoti zinaonyesha zaidi ya miili elfu moja imepatikana huko pekee. #bbcswahili #libya #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw