BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    461 views
    Ahmed Rageeb amekuwa mlemavu wa macho tangu kuzaliwa na ameishi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu wa maisha yake. BBC ilikutana naye kwa mara ya kwanza miaka miwili iliyopita katika mji wa Taiz nchini Yemen na imerudi tena mwaka huu kuona anaendeleaje. Usitishaji mapigano umepunguza mzozo lakini maisha bado ni magumu. #bbcswahili #yemen #vitavyawenyewekwawenyewe #mapigano #mzozo #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw