'Wachezeni wakiwa na umri wa kujua wamechezwa na wameelewa waliyochezwa nayo'

  • | BBC Swahili
    1,015 views
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyasema hayo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Masasi mkoani Mtwara ikiwa ni katika ziara yake katika mikoa ya Mtwara na Lindi kusini mwa Tanzania. #bbcswahili #tanzania #mtwara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw