"Kuna watu wanasema natuma dawa, wananiita mchawi, lakini si kweli"

  • | BBC Swahili
    1,253 views
    Kutana na kijana Athuman Masimba aka Masimba Nyuki ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kwa kuyahamisha makundi ya nyuki kwa kutumia mikono bila ya nyuki hao kumdhuru. Kijana huyu amekua akienda sehemu mbalimbali kwa lengo la kusaidia kuhamisha nyuki ambao wangeweza kuleta madhara kwa binaadam. Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ alikutana nae Mkoani Geita Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. #bbcswahili #tanzania #geita Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw