Programu ya mkopo yatumia picha za utupu kuwatishia wakopaji ili walipe

  • | BBC Swahili
    876 views
    Uchunguzi wa siri wa BBC umefichua ulaghai unaotumia programu za mikopo ya papo kwa hapo kuwanasa na kuwadhalilisha watu Asia, Afrika na Amerika Kusini. Uahidiwa pesa kwa urahisi,na baada ya kupatiwa pesa programu ya mkopo hukusanya taarifa binafsi kutoka katika simu za wateja na kisha kutumia maelezo hayo kutishia au kuwaaibisha ili walipe. Uchunguzi umegundua kuwa tangu 2020, nchini India pekee, takriban watu 60 wamejiua baada ya kudhalilishwa na programu za mkopo. ​ #bbcswahili #india #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw