Maisha ya kutafuta makazi Gaza: Kukosa makazi na

  • | BBC Swahili
    2,036 views
    Taswira ya maisha halisi ya watu wawili ambao sasa wanatatizika kupata sehemu salama katika mji wa kusini wa Khan Younis. Rahaf Shamaly mwenye umri wa miaka 20, mwimbaji wa bendi ya 'Sol' kutoka mji wa Gaza, ambaye kwa sasa analala kwa shida na Adam Abu Rok, ambaye amejihifadhi kwenye shule ya watoto, wamekuwa wakirekodi mapambano yao ya kila siku. Tangu tarehe 7 Oktoba, zaidi ya watu 600,000 wameacha makazi yao katika Ukanda wa Gaza, kulingana na Umoja wa Mataifa. #bbcswahili #Isrel #Gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw