Mama atokwa na machozi akimwombea mwanawe msaada wa matibabu Trans Nzoia

  • | West TV
    234 views
    Mama mmoja muuzaji wa mboga kutoka kijiji cha kapkoi sisal wadi ya waitaluk eneo bunge la kiminini kaunti ya transnzoia ametoa wito kwa wahisani kujitokeza kumsaidia kugharamia matibabu ya mwanawe ambaye mwenye ugonjwa wa shinikizo la damu mbali na kufeli kwa baadhi ya viungo vya mwili, akisema hili limemkosesha usingizi kwani hana mapato ya kugharamia matibabu ya mwanawe Kwa msaada wa kifedha MPESA 0718228969 Consolata Nekesa Opiyo #westvupdate