Sababu tatu kwanini Misri inadhibiti kwa nguvu kivuko cha Rafah?

  • | BBC Swahili
    3,029 views
    Kivuko cha mpaka cha Rafah kati ya Gaza na Misri kilifunguliwa Jumatano ili kuruhusu idadi ya raia kuondoka Gaza kwa mara ya kwanza tangu vita kuanza tarehe 7 Oktoba. Kivuko kimekuwa kikifunguliwa na kufungwa mara kwa mara kwa mwaka. Kwa nini kuna ugumu sana kwa Misri? Na msimamo wa Misri ni upi katika mzozo wa Israel na Palestina? Mwandishi wa BBC anaeleza. #bbcswahili #gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw