"Nimeweza kujenga nyumba kutokana naufugaji wa mbuni".

  • | BBC Swahili
    809 views
    Issa Seck ni mmoja wa wafugaji wachache wa mbuni huko Pout katika eneo la Thiès, Senegal. Anaelezea kuhusu mapenzi yake kwa mbuni na biashara yake hiyo jinsi ilivyomnufaisha. #bbcswahili #senegal #ufugaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw