Utamaduni wa jamii ya Tachoni kwa mzee kiongozi wa kiume -ESINAWELA

  • | West TV
    170 views
    Wakazi na viongozi mbali mbali wamejitokeza kijiji cha sirakwe wadi ya mihuu eneo bunge la webuye mashariki kushiriki utamaduni wa siku ya pili ya marehemu james iningilo sisala aliyezikwa jumapili, sherehe inayojulikana kama esinawela ambapo ng'ombe hushirikishwa kuzunguka kaburi la marehemu aliyekua mshauri maalumu wa maswala ya kitamaduni shughuli ambayo hufanyiwa wanaume tu kuashiria kuwa mkulima hasa mfugaji hodari na alikamilisha maswala kadhaa ikiwemo upandaji wa mti wa omutoto unaojulikana kama olusala