“Nilipojifungua mtoto wa kwanza familia yangu haikuwa tayari kupokea mtoto mbilikimo"

  • | BBC Swahili
    2,070 views
    Karibu familia nzima ya Mudaheranwa Celeste kutoka Kigali nchini Rwanda wana maumbile ya kimo kifupi kuliko kawaida (mbilikimo) kuanzia baba hadi watoto. Licha ya kuwa baadhi ya watoto wao wamekuwa kwa sasa lakini Celeste na Mke wake wanasema safari haikuwa rahisi kwao. Je wamewezaje kukabiliana na hali ya kuwa tofauti na watu wengine katika jamii? Mwandishi wa BBC Anne Ngugi amekutana nao na kuandaa taarifa hii Viedo: @judith_wambare #bbcswahili #kingali #rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw