- 77 views
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ameonya viongozi waliochaguliwa kupitia chama hicho dhidi ya kuendesha kampeni za mapema akiwataka wawahudumie wakenya kwanza. Wakati huo huo, Odinga amewataka wabunge wake kusimama imara bungeni dhidi ya miswada ya sheria za kiimla zinazowagandamiza wananchi kutoka kwa serikali. Akizungumza katika kikao cha kuangazia mikakati chamani, Odinga pia alitumia fursa hiyo kumjibu kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichungwa kuhusiana na mpango wa ununuzi wa mafuta kati ya serikali ya kenya na mataifa ya uarabuni ambao Raila alisema ni utapeli mkubwa.
Raila aonya viongozi waliochaguliwa kupitia chama hicho dhidi ya kuendesha kampeni za mapema
- - Duniani Leo ››
- 1 Nov 2024 - For months, Agnes Bulaba, a Congolese refugee in Uganda, has had to get by without the food rations she once depended on. Her children scavenge among local communities for whatever they can find to eat.
- 1 Nov 2024 - Society deems them deviant and disruptive, without considering gender and racial repression that fuels their agitation.
- 1 Nov 2024 - The conviction marks a big win for EACC as it continues its uphill battle over corruption.
- 1 Nov 2024 - This comes hours after the High Court lifted an order blocking his ascension to DP.
- 1 Nov 2024 - IMF's Kenya warning as it releases Sh78bn
- 1 Nov 2024 - What awaits Kithure Kindiki
- 1 Nov 2024 - Abductions soil Kenya's image
- 1 Nov 2024 - Irony of low inflation but empty pockets
- 1 Nov 2024 - Targeted voices? Profile of kidnapped Kenyans fuels suspicions
- 1 Nov 2024 - Mt Kenya has historically played a decisive role in presidential elections.