Okiya Omtatah awahusisha mawaziri Chirchir, Murkomen kwenye sakata ya mafuta ya shilingi bilioni 17

  • | Citizen TV
    5,952 views

    Seneta wa Busia Okiya Omtata anadai kwamba serikali ilidhamini mfanyibiashara Anne Njeri, shilingi bilioni 17.2 kuagiza mafuta nchini kupitia mpango wa ruzuku ya mafuta. Aidha, Omtata anataka mawaziri Davies Chirchir na Kipchumba Murkomen kuwaeleza Wakenya ni vipi wanahusika na kashfa hiyo na ni kwa nini walizungumza kwa niaba ya kampuni ya Galana Energies.