Wanasiasa wa UDA katika eneo la Nyanza wanataka wenzao wa mrengo wa upinzani kukubali maoni tofauti

  • | KBC Video
    50 views

    Wanasiasa wanaoegemea chama cha UDA katika eneo la Nyanza wanataka wenzao wa mrengo wa upinzani kukubali maoni tofauti. Wakiongozwa na meneja mpya wa chama cha UDA katika eneo hilo, Okoth Obado, viongozi hao wanataka wakazi watekeleze haki yao ya kikatiba bila ya kudhulumiwa wala kuchukuliwa kuwa wasaliti. Viongozi hao walizungumza wakati wa mazishi ya Mama Filgona Ayugi ambaye alikuwa mfuasi sugu wa kisiasa wa rais William Ruto.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive