Mshukiwa mkuu wa ulaghai wa mabilioni ya dola unaowahusisha washtakiwa wengine 4 amekamatwa

  • | KBC Video
    37 views

    Mshukiwa mkuu wa ulaghai wa mabilioni ya dola unaowahusisha washtakiwa wengine wanane amekamatwa na atafikishwa mahakamani Jumatatu. Wakati uo huo, maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha kukabiliana na uhalifu wa kiuchumina kibiasharacha idara ya DCI na maafisa wa halmashauri ya kukusanya ushuru-KRA, wamenasa aina mbali mbali za vileo na zaidi ya chupa 2,500 za mvinyo bandia ulionuiwa kuuzwa katika masoko ya humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive