- 1,920 views
Watu watatu wamepigwa risasi na kuuwawa katika tukio la punde zaidi la uvamizi katika eneo la Nosukuro, Baringo Kusini. Waathiriwa walikuwa malishoni waliposhambuliwa na majangili na kupigwa risasi huku mmoja akimudu kutoroka bila majereha yoyote. Miili ya watatu hawa hata hivyo haijapatikana tangu kutokea kwa tukio hili jana jioni. Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika eneo hili huku kukiwa na hofu kuwa majangili wameanza kujipanga upya kwa mashambulizi. Hata hivyo, kamanda mkuu wa polisi Baringo Julius Kiragu amesema maafisa wa usalama wametumwa eneo hilo. Tukio hili limejiri majuma matatu baada ya polisi mmoja wa akiba kuuawa eneo hili.
Watu 3 wamepigwa risasi kwenye tukio la ujangili eneo la Nosukuro, Baringo
- 2 Nov 2024 - The county, a rotary club and White Salmon support an initiative that empowers these moms
- 1 Nov 2024 - The government has proposed to restore some of the tax measures it scrapped from the controversial Finance Bill 2024 that was repealed following public uproar.
- 1 Nov 2024 - Newly sworn-in Deputy President Prof. Kithure Kindiki has pledged unwavering support for President William Ruto and his administration.
- 1 Nov 2024 - President William Ruto has listed his reasons for selecting Kithure Kindiki to serve as his deputy, following weeks of silence during Rigathi Gachagua's impeachment process.
- 1 Nov 2024 - President William Ruto has launched a veiled attack on his former deputy, Rigathi Gachagua, who was removed from office through impeachment by Parliament.
- 1 Nov 2024 - The Kenya Pipeline Women’s Volleyball club have appointed Geofrey Omondi as the new head coach.The club also announced the signing of four new players as the 2024/25 Kenya Volleyball Federation League is underway in Nyeri. Geoffrey takes over from Esther…
- 1 Nov 2024 - Prof Kithure Kindiki has been sworn in as the third Deputy President of the Republic of Kenya.
- 1 Nov 2024 - The Manchester Salver golf tournament teed off today as 78 elite golfers battle for the top prize at par 72 Eldoret Sports Club. Defending champion Michael Karanga will be making a return after missing out on the Kericho edition last weekend. He is not…
- 1 Nov 2024 - No holiday for KCSE candidates
- 1 Nov 2024 - Abductions soil Kenya's image