Kampuni ya Car and General yatoa wito wa kulainishwa kwa utaratibu wa ulipaji ushuru

  • | KBC Video
    12 views

    Kampuni ya Car and General inatoa wito wa kulainishwa kwa utaratibu wa ulipaji ushuru ili kuwawezesha wafanyabiashara kupanga mikakati ya kampuni zao. Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo David Chesoni amesema kuwa kubadilishwa ghafla kwa viwango vya ushuru kunaathiri gharama ya uzalishaji kwani baadhi ya bidhaa zao huagizwa kutoka nje na ziaathiriwa na mabadiliko hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News