- 122 views
Serikali imekatiza matumaini ya wamiliki wa ardhi kwenye vipande viwili vya ardhi katika eneo la Njiru vinavyohusishwa na familia ya aliyekuwa mfanyabiashara na mwanasiasa Gerishon Kirima. Wizara ya ardhi imesema imethibitisha kupitia stakabadhi zilizomo na kukubaliana na uamuzi wa mahakama kwamba vipande hivyo vya ardhi vinamilikiwa na marehemu Kirima na hivyo kutoa nafasi ya kuwafurusha wakazi wanaodaiwa kujipatia ardhi eneo hilo kwa njia isiyo halali. Aidha ubomoaji huo unaweza kusitishwa tu iwapo waathiriwa wataafikiana na familia ya Kirima. Wizara hiyo vilevile imewaonya watu wanaomiliki ardhi ya serikali karibu na vipande hivyo vya ardhi kwamba watafurushwa mara moja.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News
Wamiliki ardhi eneo la Njiru wapoteza matumaini
- - Duniani Leo ››
- 2 Nov 2024 - Former Moi-era Minister and Alego Usonga Member of Parliament Peter Castro Oloo Aringo is dead.
- 2 Nov 2024 - President William Ruto on Friday assented to the Sugar Bill 2022, aiming to revitalise the sugar sector.
- 2 Nov 2024 - A Russian student will face trial this month for treason on behalf of Ukraine, a court said Friday, after the 20-year-old was jailed in Chechnya for allegedly burning the Koran.
- 2 Nov 2024 - Archaeologists in Mexico have discovered a huge, lost Mayan city, which they named Valeriana, hidden deep in the southern jungle of Campeche -- a sprawling, urban settlement, replete with architectural marvels and agricultural infrastructure.
- 2 Nov 2024 - Pan African asset finance solutions provider Watu has scored a milestone by selling more than one million mobile devices in the Kenyan market. Through its Watu Simu subsidiary and in partnership with device manufacturers such as Samsung Mobile, the firm…
- 2 Nov 2024 - Family confirms the death of former Alego Usonga MP at the Aga Khan Hospital in Nairobi.
- 2 Nov 2024 - WHO says more than 50,000 vaccinated against Mpox in DR Congo, Rwanda
- 2 Nov 2024 - In what appears to be an acceptance of his new reality, Gachagua updated his profile to read "Husband. Father. Kenyan" shortly after Kindiki took the oath of office.
- 2 Nov 2024 - Former Education Minister Peter Oloo Aringo dead
- 2 Nov 2024 - Biden bites baby: a last week of US election oddities