Tembo avunja dirisha la gari lenye watu na kuingia kutafuta chakula
"Alianza kunusa, kuzunguka miguu yetu akitafuta chakula na dereva akatuambia tumpe chochote tulichokuwa nacho kwa hiyo nikamlisha sandwichi iliyobaki ya mwanangu."
Tazama namna familia hii ilivyoachwa na mshangao baada ya tembo kushambulia gari lao na kuvunja dirisha akitafuta chakula, walipokuwa likizoni nchini Sri Lanka.
Video inaonyesha mnyama huyo akitoka kwenye miti katika Hifadhi ya Kitaifa ya Yala, kabla ya kukimbia ghafla kuelekea alipokuwa Kasun Basnayake na familia yake kwenye gari walilokuwa wamekodisha.
#bbcswahili #srilanka #hifadhi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
23 Nov 2024
- Mbadi's comments came in the wake of the cancellation of the JKIA and KETRACO Adani deals.
23 Nov 2024
- Interested Kenyans have been urged to bid for the listed cars.
23 Nov 2024
- The move comes as the government is seeking to free up space in the warehouses.
24 Nov 2024
- Israeli strikes battered southern Lebanon and the outskirts of the capital Beirut on Friday, killing at least five medics, as ground troops clashed with Hezbollah fighters in the south.
24 Nov 2024
- Officer who locked couple's house for a week ordered to pay Sh700,000
24 Nov 2024
- Following the start of the termination process of the Adani Energy solutions and KETRACO deal, the government says it will only pay for verifiable costs or not paying the Indian conglomerate at all for not providing sufficient records for due diligence.
24 Nov 2024
- Behind-the-scenes rush as clock ticks for sale of Bamburi Cement
24 Nov 2024
- He wanted me dead, says woman stabbed 18 times by estranged lover
24 Nov 2024
- Knec says 621 KCSE candidates were involved in exam misconduct
24 Nov 2024
- Seed of betrayal: Kenyatta, Odinga fallout that shaped Kenya's political scene
24 Nov 2024
- President Omtatah?: Senator forms team of six to explore 2027 State House bid
24 Nov 2024
- Controversial Adani deals expose impotence of MPs
24 Nov 2024
- Pension industry seeks to flex its muscle in large State projects