Mama wa pacha ameokolewa baada ya kujitupa katika mto Isiukhu akiwa na pacha hao

  • | West TV
    117 views
    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka thalathini na minne ameokolewa baada ya kujirusha kwenye mto isiukhu na pacha wake wawili wenye umri wa miezi miwili, mwili wa mmoja wa pacha hao ukiokolewa huku juhudi za kuusaka mwili wa pili zikiendelea