SADC: Hadi Sasa, Mambo Mazuri' Uchaguzi wa DRC
Mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Makamu Rais wa zamani wa Zambia Enoch Kavindele, ambaye anaongoza timu ya Waangalizi wa Uchaguzi, ya Jumuiya ya Maendeleo ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika SADC, amezungumza na VOA kuhusu teknolojia ya kupiga kura na hali ya upigaji kura kote nchini.
Raia wanapiga kura zao Jumatano huku Wakongo takriban milioni 44 – katika taifa lenye kiasi cha watu milioni 100 – wamejiandikisha kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kumchagua rais, wabunge, wa bunge la taifa na majimbo na madiwani.
Kavindele ameeleza mapema Jumatano kuwa ujumbe wa SADC umeridhishwa kwa kile walichokiona hadi sasa.
Lakini ripoti za kuchelewa kupiga kura, masuala ya vifaa vya uchaguzi na hali ya mvutano katika vituo vya kupiga kura katika mji mkuu na kwingineko nchini kumesababisha wasiwasi wakati zoezi likiendelea.
#sadc #drc #rwanda #congo #felixtshisekedi #tshisekedi #drcelection #drcelection2023 #kinshasa #voa
29 Nov 2024
- The proposal would be problematic, particularly in terms of leadership, as Museveni and Kagame have been the states' longstanding leaders.
29 Nov 2024
- Kenyans turned up in large numbers despite the fact that only 3,000 positions were available to be filled.
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
30 Nov 2024
- The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
30 Nov 2024
- Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
30 Nov 2024
- European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
30 Nov 2024
- State embarks on door-to-door drive to shore up SHA registration
30 Nov 2024
- Parents shocker as State stops student mid-year transfers
30 Nov 2024
- Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
30 Nov 2024
- Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace
30 Nov 2024
- Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
30 Nov 2024
- NHIF staff receive redeployment letters
30 Nov 2024
- Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans