Jiko moja la chakula linawalisha mamia ya wakaazi katika mji wa kusini mwa Ukanda wa Gaza wa Rafah
Jiko moja la chakula linawalisha mamia ya wakaazi katika mji wa kusini mwa Ukanda wa Gaza wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakiendelea katika eneo hilo. Jiko hili limekuwa likifanya kazi huku wakazi wengi wa eneo hilo wakiwa wamekwama kwenye eneo la nusu ya kusini mwa Gaza.Huku vivuko vichache vya mpakani vilivyofunguliwa huko Gaza bado kiwango kidogo cha misaada kinafika katika eneo lililozingirwa, ukosefu wa chakula bado ni tatizo kubwa.
Umoja wa Mataifa ulisema Jumanne kwamba nusu ya wakazi wa Gaza wako katika hali ya njaa kali na 90% mara kwa mara wanakosa chakula kwa siku nzima.
Ni 10% tu ya chakula kinachohitajika kwa watu milioni 2.2 wa eneo hilo kimeingia Gaza katika siku 70 zilizopita, Umoja wa Mataifa ulisema.
29 Nov 2024
- The proposal would be problematic, particularly in terms of leadership, as Museveni and Kagame have been the states' longstanding leaders.
29 Nov 2024
- Kenyans turned up in large numbers despite the fact that only 3,000 positions were available to be filled.
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
30 Nov 2024
- The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
30 Nov 2024
- Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
30 Nov 2024
- European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
30 Nov 2024
- The Sambaza Furaha na Safaricom caravan was on Friday in its fifth day this week traversing the areas of Homa Bay, Rodi Kopany, Rongo, and Awendo.
30 Nov 2024
- Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
30 Nov 2024
- State embarks on door-to-door drive to shore up SHA registration
30 Nov 2024
- Parents shocker as State stops student mid-year transfers
30 Nov 2024
- Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
30 Nov 2024
- Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
30 Nov 2024
- NHIF staff receive redeployment letters