- 2,411 viewsWaziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, Jumatatu (Desemba 25) Alikutana na wanajeshi huko Kaskazini mwa Gaza, ofisi yake ilieleza. NetanyaWhu alifuatana na Naibu Mkuu wa Majeshi Meja Jenerali Amir Baram aliongea na wanajeshi na makamanda na kuahidi kuendeleza na mapigano hadi mwisho, iliongeza. “Hatutasitisha vita. Yeyote anayezungumzia kusimamisha mapigano – hakuna kitu kama hicho. Hatutasitisha mapigano. Vita vitaendelea mpaka mwisho,” Netanyahu alisema. Hamas na wanamgambo wadogo washirika wa Islamic Jihad, wote wameapa kuiangamiza Israel, wanaaminika kuwashikilia zaidi ya mateka 100 miongoni mwa wale 240 waliowateka wakati wa shambulizi la Oktoba 7 katika miji ya Israeli, walipowauwa watu 1,200. Tangu wakati huo, Israel imelizingira eneo finyu la Ukanda wa Gaza na kuligeuza kifusi. Takriban watu 20,700 wameuawa na mashambulizi ya anga ya Israeli, ikiwemo 250 katika kipindi cha saa 24 zilizopita, kulingana na taarifa ya mamlaka huko Gaza inayotawaliwa na Hamas iliyotolewa Jumatatu. Maelfu ya watu wanaaminika kuwa wamefariki bado wako chini ya kifusi. - Kwa mujibu wa vyanzo vya habari mbalimbali #Rafah #Netanyahu #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu
Netanyahu akutana na wanajeshi na makamanda
- - Suagar Boy ››
- 30 Nov 2024 - The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
- 30 Nov 2024 - Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
- 30 Nov 2024 - European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
- 30 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom caravan was on Friday in its fifth day this week traversing the areas of Homa Bay, Rodi Kopany, Rongo, and Awendo.
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans