Nchini Marekani, ambako takriban darzeni mbili ya majimbo yamehalalisha bangi ya burudani

  • | VOA Swahili
    382 views
    Katika kila mwezi mpevu nje ya viunga vya kijiji katikati mwa Mexico, kundi la wanawake watawa wakiwa katika sehemu yao ya kawaida wakizungukwa na moto, hujisafisha na wenyewe kwa kutumia mmea wa Sage, na kuushukuru mwezi, wanyama na mimea. #Mexico #Sage.