Watu mbalimbali wafurika viwanja vya Times Square New York mkesha wa mwaka mpya
Baada ya kusimama katika viwanja vya Times Square, New York, Marekani kwa zaidi ya darzeni za saa, maelfu ya walijitokeza kusherehekea katika mwaka mpya 2024 Jumapili (Disemba 31) usiku katika tafrija inayofanyika kila mwaka.
Wengi walikuwa wamewasili mapema asubuhi kupata nafasi zilizokuwa zimetengwa na idara ya polisi ya New York, kabla ya maonyesho ya muziki yaliyofanywa na Megan Thee Stallion na LL Cool J kabla ya kufikia mwisho wa mwaka 2023 saa sita ya usiku.
Pia shamrashamra za fataki za ajabu zilishamiri katika maeneo mbalimbali maarufu ya dunia kama vile Acropolis huko Athens, Ugiriki; Zilionekana katika jumba la vioo refu sana duniani, Burj Khalifa, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu; na kuambatana na nderemo ambazo zilitawala katika anga huko Nairobi, Kenya. - Reuters
#mwakampya #sherehe #voa #voaswahili #athens #ugiriki #burjkhalifa #timessquare #marekani #newyork
29 Nov 2024
- The proposal would be problematic, particularly in terms of leadership, as Museveni and Kagame have been the states' longstanding leaders.
29 Nov 2024
- Kenyans turned up in large numbers despite the fact that only 3,000 positions were available to be filled.
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
30 Nov 2024
- The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
30 Nov 2024
- Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
30 Nov 2024
- European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
30 Nov 2024
- State embarks on door-to-door drive to shore up SHA registration
30 Nov 2024
- Parents shocker as State stops student mid-year transfers
30 Nov 2024
- Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
30 Nov 2024
- Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
30 Nov 2024
- The Sambaza Furaha na Safaricom caravan was on Friday in its fifth day this week traversing the areas of Homa Bay, Rodi Kopany, Rongo, and Awendo.
30 Nov 2024
- Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
30 Nov 2024
- Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace