- 196 viewsKatika makala maalum ya shirika la habari la Reuters inayoangazia mauaji katika taifa la Sudan na hali wasi wasi inaendelea kutanda huko. Awatef Adam, mama wa watoto saba mwenye umri wa miaka 43, alikimbia mauaji ya wiki kadhaa katika mji wa Sudan wa El Geneina hadi Chad katikati ya mwezi Juni, alimuacha nyuma mtoto mmoja wa kiume na wa kike watatu na jamaa na majirani katika jiji hilo na kukimbilia Chad akiwa na mtoto wake mwingine na mabinti wawili. Alikuwa na matumaini hii ingemhakikishia kwamba baadhi ya watoto wake watanusurika. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wanamgambo wa RSF washutumiwa kufanya mauaji
- - Suagar Boy ››
- 30 Nov 2024 - The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
- 30 Nov 2024 - Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
- 30 Nov 2024 - European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
- 30 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom caravan was on Friday in its fifth day this week traversing the areas of Homa Bay, Rodi Kopany, Rongo, and Awendo.
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
- 30 Nov 2024 - Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles